Tuesday, December 28, 2010

NDANI YA BONGO BASH

Alhamisi hii ya tarehe 30th pale maeneo ya Mikocheni nyuma ya hosp ya Kairuki (Budda Blue) kutakuwa na show kali kutoka kwa Mwanadada Roseline pamoja na AY, Mwana FA na vijana kutoka Atown F.B.G.
Tamasha hili lililopewa jina la END OF YEAR PARTYwatu watakuwa wakiingia kwa kiingilio cha 25,000/= VIPpamoja na 15,000/= Kawaida.

No comments: